Header Ads

KWA TAARIFA YAKO: Fiesta iPod Jumamosi hii, uthibitisho huu hapa

 Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na wengine ni wasanii.
Msanii Ben Pol akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kiume


 Msanii Vanessa Mdee akizungumza na waandishi wa Habari kwa niaba ya wasanii wa kike
 Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo
Mdau akipata picha na msanii Vaness
Wasanii Aslay na Rich Mavoko wakisalimiana jna wafanyakazi wa duka la Tigo Mlimani city walipotembelea duka hilo leo mchana
Msanii Barnaba akiwa na wafanyakazi wa kampuni ya Tigo
Mkurugenzi mkuu wa Tigo Tanzania Simon Karikari akisalimiana na msanii Vanessa Mdee

No comments

Powered by Blogger.