Header Ads

Picha za tiGOFiesta Mkwakwani Tanga juzi

Msanii Aslay akitumbuiza mashabiki waliofurika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwenye Tamasha kubwa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia jumamosi

Msanii mkongwe wa Taarabu Khadija Kopa  na msanii wa bongo fleva, Ben Pol kwa pamoja wakiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga usiku wa kuamkia jumamosi.
RosaRee akiwa katika jukwaa la Tigo Fiesta
Msanii  Zaidi yao akiimba na mashabiki zake katika Tamasha la Tigo Fiesta Mkoani Tanga.
Msanii wa bongo fleva, Nandy akiwa kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga usiku wa kuamkia jumamosi.

No comments

Powered by Blogger.