Header Ads

KWA TAARIFA YAKO: Hammilton ndio bingwa wa Formula One kwa mwaka huu wa 2017

Mfukuza Barbara maarufu duniani Lewis Hamilton jana amevikwa taxi la bio maarufu zaidi za magari duniani za Formula One kwa mwaka hum wa 2017 ikiwa ni mara ya nne kuvikwa taji hilo huku akimuacha swahiba wake mpambanaji katika taji hilo Vettel Mali kwa mbaaaaali.

Katika bio hizo ambazo ziliishia Mexican Grand Prix Hamilton hakuwa wa kwanza kumaliza mbio hizo, alikuwa ni wa Tisa, na alichelewa kwa sekunde 40, lakini us hindi wa mara nne mfululizo ukase unatosha kumpa taji la kuwa bngwa wa taxi hilo kwa mwaka hum.

Kwa mbio za jana, Dereva wa Red Bull, Mdachi Max Verstappen ndio alikuwa wa kwanza kumaliza akiwa mbele ya Valtteri Bottas, na  Mali kutoka Team Ferarri  Kimi Raikkonen.


Kwa ushindi huo, Hamilton anaungana na Vettel na Alain Prost Kama washing wa mara one mfululizo Latina mashindano halo ya formula One. Madereva engine ambao wamewahi kushinda mbio hizo zaidi ya mara nne ni  Michael Schumacher amble amewahi kushinda mara Saba,  na Muargentina Juan Manuel Fangio amble amewahi kushinda mara tano.

No comments

Powered by Blogger.