Header Ads

PICHA ZA RAIS MAGUFULI: Akiongea na wananchi Nyakato, pamoja na shughuli ya uzinduzi wa Kiwanda cha Sayona

 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Nyakato nje kidogo ya jiji la Mwanza mara baada ya kufungua kiwandaa cha Sayona Drinks ltd kilichopo Nyakat
 Mheshimiwa Rais akisisitiza jambo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Katikati ya jiji la  Mwanza wakati akitokea Nyakato.
 Umati wa wananchi ukimsikiliza Mh Rais maeneo ya katikati ya Jiji la Mwanza
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati mmiliki wa Kiwanda cha Sayona Drinks Subhas Patel alipokuwa akionesha bidhaa mojawapo ya kiwanda hicho.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli pamoja  mbunge wa Ilemela Angelina Mabula wakati Kwaya ya Makongoro ilipokuwa ikitumbuza katika viwanja vya Mwatex Nyakato jijini Mwanza
 Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano huo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Nyakato.
 Kwaya ya Makongoro ikitumbuiza
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza kwa makini wimbo wa kwaya ya Makongoro kabla ya kuhutubia mamia ya wananchi Nyakato mkoani Mwanza.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana na wananchi wa Nyakato mara baada ya kuwahutubia.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuagana na Wananchi wa Nyakato  mara baada ya kumaliza kuwahutubia. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kiwanda cha Sayona Drinks kilichopo Nyakato jijini Mwanza.

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.