Header Ads

Watu 16 Wauawa Kwa Mlipuko Kwenye Harusi Kaskazini Mwa Iraq

Tokeo la picha la Iraq

Polisi nchini Iraq wamesema, washambuliaji wawili wa kujitoa muhanga walijilipua jana usiku kwenye sherehe moja ya harusi katika mkoa wa Saladin, Kaskazini mwa Iraq, na kusababisha vifo vya watu 16 na wengine 15 kujeruhiwa. 

Kikosi cha usalama kimefunga eneo la tukio na majeruhi wamekimbizwa hospitali. Polisi imesema idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililotangaza kuhusika na shambulizi hilo.

No comments

Powered by Blogger.