Header Ads

Walinzi Wa Amani Wa China Wakamilisha Majukumu Nchini Liberia


Jumla ya askari 99 wa kulinda amani wa China wamekamilisha majukumu yao ya miezi mitano nchini Liberia na wamewasili Beijing jana usiku. 

Kikosi hicho ni cha 19 kilichotumwa na jeshi la China nchini Liberia tangu mwaka 2003, na kumalizika kwa majukumu ya kikosi hicho kunamaanisha kukamilika kwa jukumu la kulinda amani la jeshi la China nchini Liberia.

No comments

Powered by Blogger.