Header Ads

Maofisa Wa TFF Washinda Kesi Ya Rushwa

Tokeo la picha la tanzania football federation logo

Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wameshinda kesi yao ya tuhuma za rushwa.

Juma Matandika ambaye ni Msaidizi wa Rais wa TFF Jamal Malinzi, na Martin Chacha aliyekuwa mkurugenzi wao mashindano wa TFF, walikua wananashtumiwa kuomba rushwa ya milioni  25 kwa viongozi wa timu ya Geita Gold Sports ameachiwa huru  Leo 

Sauti ziliolewa kuwa ni zao, zilisikika zikieleza mipango ya kuisaidia Geita Gold Sports na ilitakiwa fedha kwa ajili pia ya kuwapa viongozi wengine.

Ingawa wadau wengi wanaojua sauti zao waliamini ni wao kabisa, lakiniMahakama ya Mkazi Kisutu imetupilia mbali ushahidi wa sauti uliowasilishwa mahakamani hapo.

No comments

Powered by Blogger.