Header Ads

Ujumbe Kutoka China Watembelea Ofisi Ya Makamu Wa Rais

 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora akiongea wakati wa mkutano na ujumbe  kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China waliomtembelea Ofisini kwake mapema hii leo. 

 Sehemu ya ujumbe kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China waliomtembelea Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Profesa Faustin Kamuzora akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo cha China uliomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukuza mahusiano kati ya Tanzania na China katika masuala ya mazingira.

No comments

Powered by Blogger.