Header Ads

Rais Wa Turkmenistan Kuanza Kipindi Chake Cha Pili Cha Urais


Tokeo la picha la President of Turkmenistan

Tume ya uchaguzi ya Turkmenistan imetangaza kuwa, rais wa sasa wa nchi hiyo Gurbanguly Berdimuhamedov ameshinda katika uchaguzi wa rais uliofanyika jana kwa kupata asilimia 97.7 ya kura, hivyo kuendelea na wadhifa wake.

Uchaguzi huo uliokuwa na wagombea 9 ni uchaguzi wa kwanza baada ya Turkmenistan kufanya mabadiliko ya katiba mwezi wa Septemba mwaka jana, na kuongeza kipindi cha urais kutoka miaka mitano hadi saba.

No comments

Powered by Blogger.