Header Ads

Prof. Mkenda Aelezea Vituo Vya Pamoja Vya Forodha Mipakani Na Umuhimu Wake Kwa Uchumi Wa Nchi

 Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda, Akihojiwa na Watangazaji mahiri wa TBC Taifa, Paul Alphonce na Anna Mwasyoke, Mikocheni Jijini Dar es salama, mapema leo asubuhhi, ambapo mada iliyokuwa mezani ni kuanza kutumika kwa Kituo cha Pamoja cha Forodha mpaka ni Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia) pamoja na umuhimu wake katika uchumi wa Taifa.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda, Akihojiwa na Watangazaji  wa TBC1, Chunga Runza, Mikocheni Jijini Dar es salama, mapema leo asubuhhi, ambapo mada iliyokuwa  mezani ni kuanza kutumika kwa Kituo cha Pamoja cha Forodha mpakani Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia) pamoja na umuhimu wake.

No comments

Powered by Blogger.