Header Ads

Enugu Rangers Kuikabili Zamalek Ligi Ya Mabingwa Afrika

Tokeo la picha la caf champions league 2017

Mabingwa mara tano wa Afrika klabu ya Zamalek wataanza kampeni ya kusaka ubingwa wa sita wa ligi ya mabingwa barani humo kwa kucheza dhidi ya Enugu Rangers ya Nigeria.

Zamalek ambao walicheza fainali ya ligi ya mabingwa barani Afrika mwaka jana dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini, walikua wakimsubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya awali kati ya Enugu Rangers na JS Saoura ya nchini Algeria.

Timu hizo zilishindwa kufungana katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliochezwa nchini Nigeria na mwishoni mwa juma lililopita Unungu Ranger ililazimisha matokeo ya sare ya bao moja kwa moja, na kunufainika na kanuni ya ushindi wa bao la ugenini.

Zamalek watakuwa wenyeji wa Unguru Rangers kati ya Machi 10-12, kisha watasafiri hadi nchini Nigeria kwa mchezo wa mkondo wa pili ambao umepangwa kuchezwa kati ya Machi 17 - 19.

Ratiba ya michezo mingine ya ligi ya mabingwa barani Afrika.

USM Alger Description: Algeria
Description: Burkina Faso Rail Club du Kadiogo
10–12 Mar
17–19 Mar
Rivers United Description: Nigeria
Description: Sudan Al-Merrikh
10–12 Mar
17–19 Mar
Étoile du Sahel Description: Tunisia
Description: Ivory Coast AS Tanda
10–12 Mar
17–19 Mar
Espérance de Tunis Description: Tunisia
Description: Guinea Horoya
10–12 Mar
17–19 Mar
Al-Ahli Tripoli Description: Libya
Description: Morocco FUS Rabat
10–12 Mar
17–19 Mar
Mamelodi Sundowns Description: South Africa
Description: Uganda KCCA
10–12 Mar
17–19 Mar
Wydad Casablanca Description: Morocco
Description: Gabon CF Mounana
10–12 Mar
17–19 Mar
Young Africans Description: Tanzania
Description: Zambia Zanaco
10–12 Mar
17–19 Mar
Ferroviário Beira Description: Mozambique
Description: Mali Stade Malien
10–12 Mar
17–19 Mar
Zamalek Description: Egypt
Description: Nigeria Enugu Rangers
10–12 Mar
17–19 Mar
Gambia Ports Authority Description: The Gambia
Description: Democratic Republic of the Congo AS Vita Club
10–12 Mar
17–19 Mar
Coton Sport Description: Cameroon
Description: Madagascar CNaPS Sport
10–12 Mar
17–19 Mar
Al-Ahly Description: Egypt
Description: South Africa Bidvest Wits
10–12 Mar
17–19 Mar
TP Mazembe Description: Democratic Republic of the Congo
Description: Zimbabwe CAPS United
10–12 Mar
17–19 Mar
AC Léopards Description: Republic of the Congo
Description: Ethiopia Saint George
10–12 Mar
17–19 Mar
Al-Hilal Description: Sudan
Description: Mauritius AS Port-Louis 2000No comments

Powered by Blogger.