Header Ads

Baraza La Simu Za Mkononi Duniani Lafungua Maonesho Barcelona

Tokeo la picha la MWC

Baraza la simu za mkononi duniani MWC lilifungua maonesho Jumamosi huko Barcelona, likionesha uvumbuzi mpya wa teknolojia kwenye viwanda hivyo. 

Kabla ya hapo, mfalme wa Hispania Felipe VI amesema, viwanda vya simu za mkononi ambavyo ni kiunganishi cha teknolojia za kisasa na ufanisi wa kibiashara, vinaendelea kutoa huduma bora na bidhaa bora ili kukidhi mahitaji ya watu. 

Kampuni nyingi za teknolojia ya habari na mawasiliano duniani ikiwemo Huawei, ZTE, LG, Lenovo Moto, Samsung, Blackberry na Nokia, zimezindua bidhaa zao mpya kwenye maonesho hayo.

No comments

Powered by Blogger.