Header Ads

Anna Abdallah Apongezwa Kuwa Mwenyekiti Wa Bodi Ya Wadhamini Ya TGGA


 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Kamishna  Mkuu wa TGGA,  Symphorosa Hangi  (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro baada ya kuchaguliwa Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA  NA RICHARD MWAIKENDAKAMANDA WA MATUKIO BLOG)

 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto),Kamishna  Mkuu wa TGGA,  Symphorosa Hangi  (kulia) na  Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro  wakipiga makofi wakati wa mkutano huo wa kumtambulisha Anna. 

 Mwenyekiti mpya wa Bodi ya  Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA), Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Mjumbe wa Bodi hiyo, Zakia Meghji.

 Katibu wa Taifa wa TGGA, Grace Shaba (kulia) akimpongeza Anna Abdallah.

 Mary akimpongeza Anna Abdallah.

 Wakiwa na furaha kutoka kushoto ni Grace Makenya, Anna Abdalah, Profesa Martha Qorro na Hangi.


 Baadhi ya Girl Guids wakiwa katika picha ya pamoja.


No comments

Powered by Blogger.