Header Ads

Tunasubiri ‘Dk 90’ Za Kesho


Nyasi za uwanja wa Sokoine zitawaka  moto hapo kesho  kufuatia  uwepo mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara  unaozikutanisha timu mbili hasimu kutoka  jiji la Mbeya,wenyeji wa mchezo  Tanzania Prison na Mbeya City fc.

Afisa habari wa City, Dismas Ten, amesema kuwa maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika na kinachosubiriwa ni dakika 90 za kesho.

“Tumeajiandaa vizuri, kikosini hatuna majeruhi kwa mujibu wa daktari, tunasubiri dakika 90 za kesho ambazo ni wazi zitatupatia pointi tatu muhimu hii ni kwa sababu ya maandalizi mazuri tuliyofayanya.” Amesema Dismas

No comments

Powered by Blogger.