Header Ads

Libya Yatoa Hati Za Kukamatwa Kwa Mawaziri Wa Zamani


Mwendesha mashtaka mkuu wa Libya ametoa hati za kukamatwa kwa mawaziri wa zamani kutokana na tuhuma za ufisadi na rushwa.


Amesema baadhi ya mawaziri wa zamani wanaotuhumiwa wako nchi za nje, na kuongeza kuwa ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Ufaransa inafuatilia kesi za biashara haramu ya mafuta, na kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la polisi Interpol, wametoa hati ya kukamatwa kwa mtu mmoja nchini Falme za Kiarabu ambaye amehojiwa na baadaye kuachiwa huru na serikali ya nchi hiyo.

No comments

Powered by Blogger.