Header Ads

Kiongozi Wa Upinzani Sudan Asisitiza Kusimamisha Vita


Kiongozi wa chama cha upinzani cha Sudan NUP Al-Sadiq al-Mahdi ameahidi kusimamisha vita na kutimiza amani na mageuzi ya kidemokrasia nchini Sudan.

Ali-Mahdi akiwahutubia wafuasi wake huko Omduman, amesema amerudi nchini Sudan ili kutekeleza malengo maalumu ya kusimamisha vita na kutimiza amani na mageuzi ya kidemokrasia.


Ali-Mahdi pia ameitaka serikali ya Sudan kuwaachia wafungwa wa kisiasa.

No comments

Powered by Blogger.