Header Ads

FA Cup Kuendelea Wikiendi hii

Michuano ya kombe la chama cha soka nchini England (FA Cup) inaendelea tena hii leo kwa mchezo mmoja.
4:55 ( Usiku) Derby County Vs Leicester City

Michezo itakayochezwa kesho Jumamosi.
9:30 (Mchana) Liverpool v Wolverhampton Wanderers
12:00 (Jioni) Blackburn Rovers v Blackpool
12:00 (Jioni) Burnley v Bristol City
12:00 (Jioni) Chelsea v Brentford
12:00 (Jioni) Crystal Palace v Manchester City
12:00 (Jioni) Lincoln v Brighton & Hove Albion
12:00 (Jioni) Middlesbrough v Accrington Stanley
12:00 (Jioni) Oxford United v Newcastle United
12:00 (Jioni) Rochdale v Huddersfield Town
12:00 (Jioni) Tottenham Hotspur v Wycombe Wanderers
2:30 (Usiku)  Southampton v Arsenal

Michezo ya jumapili:
9:00 (Mchana) Millwall Vs Watford
9:30 (Mchana) Fulham Vs Hull City
11:00 ( Jioni) Sutton United Vs Leeds United
1:00 (Usiku) Manchester United Vs Wigan Athletic

Muhimu: Muda wa kuanza kwa michezo hiyo ni kwa Kiswahili na upo kwa majira ya Afrika Mashariki.

No comments

Powered by Blogger.