Header Ads

MANCHESTER UNITED YA DROO DHIDI YA EVERTON
NA JOHN SIMWANZA 

Mashetani wekundu manchester united hali imezidi kuwa mbaya baada ya kudroo katika mchezo wake uliopigwa katika uwanja wa Goodsonpark 

Manchester ndio walianza kwa kupata bao la kwanza lililo fungwa na mshambuliaji nambari tisa Ibraimovic ndani ya dakika 42 ya kipindi cha kwanza.

Kabla ya dakika chache kumalizika kwa mchezo huo beki nambari tatu wa Everton Leiton Baines aliipatia timu yake ya Everton bao la kusawazisha  katika dakika ya 88  na kupelekea mchezo huo kumalizika kwa droo ya bao 1-1.

No comments

Powered by Blogger.