Header Ads

PICHA:Maelfu waomboleza kifo cha 'Iron Lady' wa India Jayalalithaa Jayaram

Jayalalitha

Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa Jayalalithaa Jayaram, mmoja wa wanasiasa mashuhuri nchini India,.
Jayalalithaa  Jayaram alipatwa na mshtuko wa moyo siku ya jumapili usiku na kufarika siku ya jumatatu katika hosipitali ya Apollo mjini Chennai.
Maelfu ya watu wamejitokeza kutoa heshima zao za mwisho
Jimbo la Tamil Nadu limetangaza siku saba za maombolezi,wakati huo serikali kuu mjini Delhi nayo imetangaza jumanne kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kama heshima kwake
Waziri Mkuu Narendra Modi atahudhuria ibada ya mazishi ya kiongozi huyo ambayo yatafanyika baadaye Jumanne.

A supporter of Tamil Nadu Chief Minister Jayalalitha Jayaraman holds her photo at the AIADMK party office in Mumbai, India, December 5


Supporters hold a photograph of Tamil Nadu state leader Jayalalithaa Jayaram


Maafisa zaidi wa polisi wametumwa Chennai

No comments

Powered by Blogger.