Header Ads

KAMA HUJAPATA MATOKEO: Chelsea imeipa kichapo Man City bao hizi...

Na John Simwanza
Club ya Chelsea imeipa kichapo timu ya Man City katika mchezo wao uliopigwa kwenye uwanja wa Etihad

Mchezo ulianza kwa kasi huku kila timu ikilishambulia gori la mwenzake lakini mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza zilimalizika Manchester City walikua mbele kwa bao 1 la kujifunga na Beki wa chelsea Gary Cahil               

Kipindi cha pili kilianza huku Man City wakiongoza kwa bao 1 walilopata kwenye kipindi cha kwanza Chelsea ilisawazisha goli hilo kupitia mshambuliaji wake Diego Costa katika dakika ya 60 na dakika ya 70 Willian aliipatia Chelsea bao la pili kupitia mshabuliaji wake Eden


Kana kwamba hiyo haittoshi, Hardzad aliipatia chelsea bao la 3 katika dakika ya 90 mpaka kipenga cha mwisho kinalia Chelsea 3 Man City 1

No comments

Powered by Blogger.