Header Ads

VIDEO/PICHA Vijana WajasiriamaliI Wachangamkia Fursa Kutengeneza Shanga


Vijana wajasiliamali wakiwa katika mafunzo ya kutengeneza urembo wa Shanga baada ya kupata somo kutoka kwa Mkufunzi Peninnah katika mafunzo hayo Biashara kwa Vijana kuelekea Soko la AFrika Mashariki yanayoendelea kwenye Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. 
Vijana wakichangamkia bidhaa kuanza kutengeza Shanga
Vijana wajasiliamali wakirefresh kwa kucheza mchezo wa kujichangamsha..........
Mkufunzi akitoa maelekezo ya mchezo huo....

No comments

Powered by Blogger.