Header Ads

SHUHUDIA: Serikali ilivyopokea kompyuta 205 kutoka kampuni ya BayPort

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na kampuni ya Bayport Tanzania leo iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.
 Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na kampuni ya Bayport Tanzania leo iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na Kampuni ya Bayport Tanzania leo, wakati wa hafla ya kukabidhi kompyuta hizo iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.
 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akiwa katika picha ya moja na wajumbe  kutoka  Kampuni ya Bayport Tanzania na maofisa wa Ofisi yake mara baada ya kupokea msaada wa kompyuta 205 .Kulia kwake ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Utumishi Dkt. Laurean Ndumbaro.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Bayport Tanzania Bw. John Mbaga (kushoto) wakati wa hafla yakupokea msaada wa kompyuta 205 zilizotolewa na Bayport Tanzania leo iliyofanyika Ofisi ya Rais-Utumishi.

No comments

Powered by Blogger.