Header Ads

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MZEE ALI HASSAN MWINYI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali hassan Mwinyi Ikulu jiji dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali Hassan Mwinyi Ikulu jiji dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Mzee Ali hassan Mwinyi  mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi  William Lukuvi kabla ya kuanza mazungumzo yao  Ikulu jijini dar es salaam.

                                       PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.