Header Ads

PICHA: Za kikao cha Waziri Kairuki na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika Barak

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipitia nyaraka zilizowasilishwa na Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika Barak alipotembelewa na balozi huyo ofisini kwake leo.
 Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika Barak akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (OGP) alipomtembelea Waziri huyo leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo kwa Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Bi. Malika Barak (kulia) mara baada ya kupokea nyaraka kutoka kwa balozi huyo.

No comments

Powered by Blogger.