Header Ads

PICHA: RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA MGENI WAKE RAIS WA ZAMBIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakati wakiangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu wakifurahia jambo mara baada ya kuangalia kikundi cha matarumbeta kilichokuwa kikitumbuiza uwanjani hapo kabla ya Rais Lungu kuondoka nchini.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu kabla ya Rais huyo wa Zambia kuondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Zambia Edgar Chagwa Lungu ambaye ameondoka nchini mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.