Header Ads

Europa: Man U yashinda 4-0 Rooney ang'ara


 Juan Mata alipachika goli la pili
Mchezaji wa Manchester United Wayne Rooney amevunja rekodi kama ya magoli 39 barani Ulaya baada ya kuwashinda Feyenoord 4-0 katika mchezo wa ligi ya Europa. 

Ushindi huu umeiweka Man u katika nafasi ya pili na alama 9 kwenye kundi A ikiwa nyuma ya Fernabache kwa alama moja.

Meneja wa Man U Jose Mourinho amesema kamwe milele Rooney atabaki kuwa Rooney.

Mchezo unaofuata Manchester United itamenyana na Zorya Luhansk huku ikihitaji alama moja pekee kusonga mbele.

Msimamo wa kundi A

 Msimamo wa kundi A

Matokeo mengine

Fenerbahçe 2-0 Zorya Luhansk

Hapoel Be'er Sheva 3-2 Inter Milan
 
Sparta Prague 1-0 Southampton

Dundalk 0-1 AZ Alkmaar

Zenit Saint Petersburg 2-0 Maccabi Tel-Aviv

FK Qabala 1-3 Anderlecht

FC Astana 2-1 Apoel Nicosia

FK Krasnodar 1-1 FC Red Bull Salzburg

FC Zürich 1-1 Villarreal

FC Steaua București 2-1 Osmanlispor

FC Slovan Liberec 3-0 FK Qarabag

No comments

Powered by Blogger.