Header Ads

Utabiri wa Hali ya kewa kuanzia saa 24 zijazo kuanzia sasa....

 


[Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Kagera, Mwanza, Kigoma na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.

[Mikoa ya Tabora, Mtwara, Mara, na Shinyanga]:
[Mikoa ya Ruvuma, Rukwa, Mbeya na Iringa]:


Hali ya Mawingu Kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara ]:
[Mikoa Dodoma na Singida ]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HA       PA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)
ARUSHA
26°C
18°C
12:33
12:33
D'SALAAM
28°C
23°C
12:25
12:19
DODOMA
29°C
19°C
12:38
12:34
KIGOMA           
30°C
22°C
01:01
12:59
MBEYA
24°C
16°C
12:50
12:40
MWANZA
30°C
19°C
12:46
12:49
TABORA
30°C
18°C
12:49
12:47        
TANGA   29°C 
24°C
12:24
12:22
ZANZIBAR   26°C
24°C
12:25
12:19

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma  kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka kusini  kwa Pwani ya Kaskazini                                                               na kutoka  Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kusini       
                                                
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi madogo.
                                                
Matazamio kwa siku ya Ijumaa: 25/04/2014: Mabadiliko kidogo

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/04/2014.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments

Powered by Blogger.