Header Ads

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL APANDA MTI KUADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Bilal, leo ameapanda mti wa Mwembe nje ya Ofisi yake mpya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya kupanda miti.
Makamu wa Rais akishikiza mti alioupanda huku wafanyakazi wa ofisi yake wakishuhudia

No comments

Powered by Blogger.