Header Ads

TAARIFA: Marafiki wa MaishaPlus Mama Shujaa


Tunawaomba RADHI kutokana na kutoonekana kwa vipindi vyetu hewani kuanzi jumamosi tarehe 8. Hii imetokana na sisi Kama waandaaji kuwaomba TBC KUSITISHA kurusha vipindi.


Kipindi cha kwanza kilirushwa saa 4.20 usiku, cha pili kikarushwa saa 4.50 usiku, cha tatu kikarushwa saa 3 usiku na cha nne (cha jumamosi) HAKIKURUSHWA KABISA!

Kwa kuwa jambo hili linahusisha makubaliano, tunaomba muwe na subira wakati tukirekebisha mambo ili muweze kuitazama Maisha Plus SEHEMU na muda UNAOELEWEKA ndani ya siku chache zijazo.
Tunawaomba RADHI kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
 

Imetolewa na Uongozi
dMb Co. Ltd

No comments

Powered by Blogger.