Header Ads

PICHA: Muendelezo wa kampeni za Ridhiwani Kikwete Chalinze

 Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimange  wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge .
 Wakina Mama wa kijiji cha Kikwazu wakinyoonya mkono kama ishara ya kuahidi kupigia kura Ridhiwani Kikwete
 Mtendaji wa Kijiji Ndugu Mussa Yahaya akimuonyesha mgonbea wa ubunge jimbo Chalinze majengo ya shule ya msingi Kikwazu ambayo paa lake liliondolewa na upepo mkali (kimbunga)
 Ridhiwani Kikwete akipiga kampeni za ubunge jimbo la Chalinze katika kijiji cha Pongwe Mnazi
 Mgombea ubunge Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete akikabidhi kwa  Heri Said mkazi wa kijiji cha Pongwe Kiona kadi ya uanachama wa UVCCM.
 Diwani wa kata ya Kimange Ndugu Hussein Juma Hading'oka akihutubia wakazi wa kijiji cha Pongwe Kiona
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wananchi wa kijiji cha Changalikwa wakati wa mkutano wa jimbo la Chalinze CCM.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimnadi mgombea wa Ubunge Ndugu Ridhiwani Kikwete katika viwanja vya shule ya Changalikwa.

No comments

Powered by Blogger.