Header Ads

Washindi wa Droo ya kwanza ya Winda Safari ya Brazil na Serengeti wakabidhiwa zawadi zao

Meneja Masoko wa Bia ya serengeti Kanda ya Dar es Salaam akimuonesha I Pad Mohamed saleh, ambaye ni mmoja wa washindi wa shindano la Winda Safari ya Brazil na Serengeti, katika hafla ya kukabidhiana zawadi iliyofanyika jijini Dar es Salaam mapema wiki hii.
 Meneja Masoko wa Kampuni ya Serengeti Breweries Kanda ya Kaskazini, Bw Partrick Kisaka(Kulia), akimkabidhi mmoja wa washindi wa shindano la Winda Safari ya Brazil na Serengeti Bw John Josiah, King'amuzi cha Azam 
Washindi wa Droo ya kwanza wa shindano la Shinda safari ya Brazil na Serengeti wakiwa katika picha ya pamoja. Kutoka Kulia ni John Josiah, Freeman Massawe na meneja wa Bia ya serengeti Kanda ya Kaskazini, Patrick Kissaka na Robert Macky

No comments

Powered by Blogger.