Header Ads

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) awasili Dodoma tayari kwa kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi mara alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo .
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali alipowasili katika uwanja wa   Ndege wa Dodoma leo akihudhuria katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kinachoanza jioni hii
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendelea na salamu, kulia ni  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi
 ijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao Makuu Dodoma wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Makao Makuu Dodoma wakimkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein   alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma leo

No comments

Powered by Blogger.