Header Ads

ZIARA YA KIKAZI WILAYA YA BAGAMOYO YA MH. NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA ANGELLAH KAIRUKI

 Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo ya Kerege iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye ziara ya siku moja wilayani humo.

 Hakimu Mahakama ya Mwanzo ya Kerege iliyopo Wilayani Bagamoyo Judas Kyombo akisoma taarifa fupi ya utendaji ya mahakama hiyo alipotembelewa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki alipokuwa kwenye ziara ya siku moja wilayani humo.
 Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah akisisitiza umuhimu wa kutoa adhabu mbadala kwa watuhumiwa baada ya hukumu zao kukamilika alipokuwa anaongea na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo ya Kerege (hawapo pichani) iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani kwenye ziara yake ya  siku moja wilayani humo. Wa kwanza kushoto ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa PwaniBahati Ndeserua, wa kwanza kushoto ni Msajili Mahakama kuu, kanda ya Dar es salaam Projestus Mhagama.

 Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo Liadi Mohamed Chamshama akimwonesha Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah (mwenye gauni kitenge) na ujumbe wake eneo la mahakama ya Mwanzo ya Kiwangwa alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja wilayani mkoa wa Pwani.
 08 Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo ya Msoga-Lugoba iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja wilayani humo.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah akiondoka Mahakama ya Mwanzo ya Msoga-Lugoba baada ya kutembelea mahakamahiyo Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye ziara ya kikazi ya siku moja wilayani humo.  
(Picha zote na Eleuteri Mangi –Maelezo)

No comments

Powered by Blogger.