Header Ads

WAZIRI DKT. FENELLA MGENI RASMI MASHINDANO YA DUNIA MCHEZO WA KARATE

PIX1  
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dr. Fenella Mukangara akimkabidhi medali ya dhahabu na Beji Bingwa wa Dunia wa Shotokan Karate kwa uzito wa kg 55 ( ambaye jina lake halikuweza kupatikana) wakati alipokuwa mgeni rasmi katika mashindano ya mchezo wa huo  uliofanyika mapema mwishoni mwa wiki jijini Bursa Uturuki.Mashindano hayo yameshirikisha zaidi ya nchi 26 kutoka nchini za Ulaya, America, Afrika na Asia.PIX2 
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Dr. Fenella Mukangara akiteta jambo na Rais wa Karate  Duniani Prof. Antonio Martizo (kushoto) alipokuwa mgeni rasmi  katika mashindano ya Dunia ya mchezo huo mapema mwishoni mwa wiki Bursa Uturuki. Ambapo zaidi ya nchi 26 kutoka nchini za Ulaya, America, Afrika na Asia.
PICHA NA – WHVUM

No comments

Powered by Blogger.