Header Ads

UHAMIAJI YANYAKUA USHINDI WA NNE SHIMIWI


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi (kushoto) akikagua timu ya kamba ya Uhamiaji kabla ya kucheza fainali na timu ya Ikulu. katika michezo ya SHIMIWI iliyokuwa ikifanyika mkoani Morogoro IMG_3626 
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akikagua timu ya kamba ya Uhamiaji kabla ya kucheza fainali na timu ya Ikulu. IMG_3634 
Timu ya kamba ya Uhamiaji ikimenyana na timu ya kamba ya Ikulu (haipo pichani) katika fainali za mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika mwishoni  mwa wiki mjini Dodoma IMG_3637 

No comments

Powered by Blogger.