Header Ads

TUZO YA MWANASPOTI BORA WA SOKA 2013 YAZINDULIWA DAR

  Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda(kushoto)akisaini mkataba wa udhamini wa Tuzo ya Mwanaspoti bora wa soka wa Vodacom 2013,wanaoshuhudia ni Meneja Masoko wa MCL Bernad Mukasa(katikati) na Ofisa Udhamini na Matukio wa kampuni hiyo Ibrahim Kaude.
  Meneja Masoko wa MCL Bernad Mukasa(katikati)akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kutangaza mdhamini mkuu wa Tuzo za Mwanaspoti bora wa soka wa Vodacom 2013,Kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda na kulia ni Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude.
  Mkuu wa kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Joseline Kamuhanda,akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kusaini mkataba na kutangaza udhamini wa kampuni yake kwa Tuzo za Mwanaspoti bora wa soka wa Vodacom 2013.

No comments

Powered by Blogger.