Header Ads

TBL YATAMBULISHA KAMPENI YA “NANI MTANI JEMBE” KWA WAFANYAKAZI WAKE


Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishiriki kuvuta kamba katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza) 2 
Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishiriki kuvuta kamba katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza) 3
Mfanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza, Elipidius Benedicto akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza) 
 4 
Mfanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza, Eric Manyirizu akishiriki katika shindano la kupiga danadana katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza) 5Wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakicheza fussball katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza) 6Wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishindana kupuliza vuvuzela katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza) 7 
Mashabiki wa Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL) kiwanda cha Mwanza wakishiriki kuvuta kamba katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali. (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)
Shabiki wa Yanga akifurahia 11 
Makamu mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangare maarufu kama Mzee Kinesi akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)
  12 
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali (Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)10 
Makamu mwenyekiti wa Simba, Joseph Itangare maarufu kama Mzee Kinesi akiongea na wafanyakazi wa TBL Mwanza katika hafla ndogo ya kutambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe kwa wafanyakazi hao kabla ya uzinduzi mkubwa utakaofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kampeni hiyo itawashindanisha mashabiki wa Simba na Yanga nchi nzima kwa muda wa miezi miwili kupitia matukio mbalimbali 
(Picha: Mpiga Picha Wetu, Mwanza)

No comments

Powered by Blogger.