Header Ads

RAIS KIKWETE AZINDUA NA KUKAGUA KIWANDA CHA AZAM


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua moja ya bidhaa
zinazozalishwa na kiwanda cha vinywaji baridi cha Azam wakati Rais
alipotembelea na kuzindua uzalishaji katika kiwanda hicho huko
Mwandege, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani leo.
D92A1927 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa
waajiriwa wa kiwanda cha Bakhressa Food Products Bi.Khadija Isihaka
wakati Rais alipozindua uzalishaji katika kiwanda hicho kilichopo
chini ya Kampuni ya Azam huko Mwandege,Wilyani Mkuranga leo.Kiwanda
hicho kimetoa ajira kwa zaidi ya watu 400.
D92A2030 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kuzindua rasmi uzalishaji katika kiwanda cha Bakhressa Food Products huko Mwandege, Wilayani Mkuranga  leo asubuhi.Kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Wapili kushoto ni mmiliki wa kiwanda hicho Bwana Said Bakhressa na kulia ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt.Abdallah Kigoda(picha na Freddy Maro).

No comments

Powered by Blogger.