Header Ads

NAIBU WAZIRI KATIKA IDARA YA KIMATAIFA YA CHINA AWASILI NCHINI

 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akimkaribisha Naibu Waziri katika Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti cha China Ai Ping ambaye amewasili nchi   kuhudhuria Mkutano wa Sita wa Makatibu Wakuu wa  Vyama Vya Ukombozi Afrika utakaofanyika tarehe 9 Oktoba 2013 Kunduchi mjini Dar es salaam.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  Dk.Asha-Rose Migiro akizungumza na Naibu Waziri katika  Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti Ai Ping mara tu alipowasili nchini kwa kuhudhuria mkutano wa sita wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi.

No comments

Powered by Blogger.