Header Ads

MATUKIO KATIKA PICHA KUHUSU MKUTANO WA TAKWIMU JUU YA PATO LA TAIFA


Waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke (hayupo pichani) wakati akielezea ukuaji wa Pato la Taifa katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka 2013 uliongezeka kwa asilimia 6.7 ikilinganishwa na asilimia 6.4 katika kipindi kama hicho mwaka 2012.

No comments

Powered by Blogger.