Header Ads

MAFUNZO YA WAATALAMU WA MADAWA YAKAAYO ARDHINI YAINGIA SIKU YA PILI MJINI ARUSHA.

Profesa Jamidu Katima alisesimama, wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam akitoa elimu kwa wataalamu kuhusu madawa yanayokaa ardhini kwa muda mrefu..katika siku ya pili ya mafunzo hayo kwa wataalam mjini Arusha. 
 Baadhi ya waataalam washiriki wa warsha wakimsikiliza Profesa katika mafunzo hayo.Picha na Evelyn Mkokoi (Arusha)

No comments

Powered by Blogger.