Header Ads

KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI CHAENDESHA UKAGUZI WA MAGARI KWA WAFANYAKAZI WA AIRTEL

CPL Jumaa mwalimu wa kituo cha polisi Oyesterbay akikagua tairi la gari la mmoja wa wafanyakazi wa Airtel James Majwala wakati polisi kikosi cha usalama barabarani kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel katika makao makuu ya Airtel morroco.
CPL Jumaa mwalimu wa kituo cha polisi Oyesterbay akikagua uhalali stika ya leseni ya barabarani katika moja ya gari la wafanyakazi wa Airtel bwana Francis Ndikumwami wakati polisi kikosi cha usalama barabarani kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel katika makao makuu ya Airtel morroco.
CPL Jumaa mwalimu wa kituo cha polisi Oyesterbay akikagua gari la mmoja wa wafanyakazi wa Airtel Bi Susan Kajubili wakati polisi kikosi cha usalama barabarani kilipoendesha zoezi la ukaguzi wa magari kwa wafanyakazi Airtel katika kutimiza lengo la wiki ya Nenda kwa usalama barabarani,. zoezi hilo liliyofanyika katika makao makuu ya Airtel morroco.
Mfanyakazi wa Airtel bwana Jacob Malisa akibandika stika ya usalama barabarani mara baada ya gari lake kukaguliwa na kuthibitisha kufaa kutembea barabarani. Zoezi la ukaguzi wa magari lilifanyika jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel na kuwashirikisha wafanyakazi wa Airtel.
Inspector Serengeti Action wa kituo cha polisi Oyesterbay akiingia katika moja ya gari la mfanyakazi wa Airtel bi Aminata Nakieta tayari kwa ukaguzi.

No comments

Powered by Blogger.