Header Ads

DIAMOND PLATINUMZ AKABIDHI IPAD KWA MSHINDI WA NGOLOLO

 Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul "Diamond Platinumz"akimkabidhi Ipad yenye thamani ya shilingi Milioni Tsh 1.2 mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya kupitia ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,mara baada ya kumalizika droo ya tatu ya shindano la miito ya simu.Washindi 35 kila mmoja amejishindia Sh 50,000.Anaeshuhudia katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe.
Mshindi wa dansi ya Ngololo Bw.Faudhu Kiobya,aliejishindia Ipad kwa kutuma video katika ukurasa wa kijamii wa instragram wa Vodacom Tanzania,akionesha Ipad yake kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)aliejishindia na kukabidhiwa rasmi na Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul "Diamond Platinum"(kulia)wakati wa droo ya tatu ya shindano la miito ya simu,ambapo washindi 35 kila mmoja wamejishindia Sh 50,000.katikati ni Meneja wa huduma za ziada wa Vodacom Bw.Mathew Kampambe.

No comments

Powered by Blogger.