Header Ads

CHUO CHA MZUMBE WAANZISHA SHAHADA YA UZAMILI YA AFYA UTAFITI NA UFUATILIAJI WAKISHIRIKIANA NA CHUO CHA CALFONIA


 Mwakilishi wa Chuo cha Franscisco cha Calfonia Marekani   Dk  Roger Kushoto akiwa na Mshauri wa wanafunzi Chuo kikuuu Mzumbe katika uzinduzi wa shahada ya uzamili  uliofanyika chuo kikuu mzumbe.
 Mgeni Rami kwenye uzinduzi wa Shahada ya uzamili ya afya utafiti na ufuatiliaji Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akiwa katika uzinduzi huo .
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akiwa katika uzinduzi huo  akiwa na mkurugenzi wa maendeleo kutoka wizara ya Afya Ndugu Mashauri aliyeudhuria uzinduzi wa shahada ya uzamili ya Afya utafiti na ufuatiliaji inayotolewa chuo kikuu mZumbe kwa kushirikiana na chuo cha Francisco cha Calfonia cha Nchini Marekani.
Wanafunzi wa shahada ya uzamili afya utafiti na ufuatiliaji wakiwa katika uzinduzi huo.Hapa wakimsikiliza Mgeni rasmi

Mkuu wa Idara ya Shahada za uzamili kutoka chuo kikuu mzumbe Ndugu  Amani Paulo akitoa neno fupi wakati wa uzinduzi huo
Makamu wa raisi wa Serikali ya Wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe 
Wadau kutoka chuo Kikuu cha Calfonia cha marekani Walioshiriki katika uzinduzi huo
 
Makamu Mkuu wa chuo kikuu Mzumbe taaluma akitoa hotuba yake kabla ya uzinduzi huo.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akitoa neno fupi.
 
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mzumbe Profesa Faustin Kamuzora Akikata utepe kuashiria uzinduzi wa darasa litakalotumika kwa ajili ya wanafunzi wa shahada ya uzamili  ya afya utafiti na ufuatiliaji
 
Picha ya Pamoja.
Na MATUKIO NA MICHAPO BLOG

No comments

Powered by Blogger.