Header Ads

RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MADRASA HIDAYA-TUL ISLAMIYA KIDOTI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamia katika  Kijiji cha Kidoti Wilaya  ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2058 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia,Salim Yussuf Mohamed,(kushoto) na Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo Makame Ali Juma,(kulia) pamoja na Viongozi wengine wakati walipotembelea sehemu mbali mbali za madrasa hiyo baada ya kuifungua Rasmi leo huko katika Kijiji cha Kidoti Wilaya  ya Kaskazini A Unguja,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2070 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia,Salim Yussuf Mohamed,(katikati) wakati alipotembelea  madrasa hiyo baada ya kuifungua Rasmi leo huko katika Kijiji cha Kidoti Wilaya  ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2099 
Viongozi waliohudhuria katika ufunguzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kutoka kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Juma Haji Juma,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2100 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi,na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,nwakiwa katika hafla ya ufunguzi wa  Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini hapo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
 IMG_2121 
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kidoti waliohudhuria katika hafla ya ufunfuzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini hapo,wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua madrasa hiyo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2154 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wa madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,Mkoa wa Kaskazini iliyojengwa kwa ufadhili wa wahisani mbali mbali na Nguvu za Wananchi wenyewe.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments

Powered by Blogger.