Header Ads

PICHA: Uzinduzi wa kinywaji cha Tusker Lite Kanda ya ziwa

  Wakizindua rasmi bia ya Tusker Lite kanda ya ziwa katika hafla iliyofanyika katika hoteli ya Golden Crest jijini Mwanza, kutoka kulia ni Meneja mipango na masuala ya habari wa Kampuni ya bia ya Serengeti Nandi Mwiyombella, Meneja wa vinywaji vya Tusker Sialuoise Shayo, Meneja mipango na Ugavi wa SBL kanda ya Ziwa Dilip Chudasama na Meneja mauzo wa kanda Octavian Migire(wa kwanza kushoto).
Baadhi ya viongozi wa idara ya masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti wakiwaonesha wageni waalikwa(hawapo kwenye picha) chupa ya bia ya Tusker Lite  katika hafla ya uziduzi wa bia hiyo
kanda ya ziwa iliyofanyika katika hoteli ya Golden Crest jijini Mwanza, kutoka kulia ni Meneja mipango na masuala ya habari wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi Nandi Mwiyombella, Meneja wa vinywaji vya Tusker, Bi Sialuoise Shayo, Meneja mipango na Ugavi wa SBL kanda ya ziwa na Meneja mauzo wa kanda Octavian Migire(wa kwanza kushoto).
 Burudani ilikuwepo...
 Kukaa mbele ya kamera kuna raha yake..
 Timu nzima ya mauzo ya Kampuni ya Bia ya Serengeti kanda ya ziwa katika picha ya pamoja katika hafla ya uzinduzi wa bia ya Tusker Lite kanda ya ziwa iliyofanyika katika hoteli ya Golden Crest jijini Mwanza.
 Maakuli kama kawa
Neno la shukrani kwa wageni waalikwa kutoka kwa Meneja bidhaa

No comments

Powered by Blogger.