Header Ads

NGUZO ZA UMEME ZILIVYONUSURIKA KUTEKETEA KWA MOTO KWENYE MSITU WILAYANI MAKETE

 Masalia ya msitu uliopo kwenye kijiji cha Luvulunge wilaya ya Makete mkoa wa Njombe mara baada ya moto kuuteketeza msitu huo ambao mbali na kuwa na miti pia nyaya za umeme wa gridi ya taifa unaotoka mkoa jirani wa Mbeya kuja Makete zimepita katika eneo hili lililoungua
 Nguzo za umeme zikiwa zimeponea chupuchupu kuteketezwa na moto huo.
 
 
 
Mojawapo ya nguzo zilizopo kwenye msitu huo kama unavyoziona, na sipati picha kama zingeungua nini kingetokea?(Picha zote na Edwin Moshi, Makete)

No comments

Powered by Blogger.