Header Ads

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MWENYEKITI WA ASASI YA KISIASA YA KONRAD ADENAUER YA UJERUMAN DKT. HANS-GERT POTTERING NA UJUMBE WAKE IKULU DAR LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwenyekiti wa Asasi ya Kisiasa ya Konrad Adenauer Foundation ya Ujerumani, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya, Rais Mstaafu wa Bunge la Umoja wa Ulaya Dkt. Han-Gert Pottering (kushoto) kwa Makamu, aliyeongoza na Ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam leo Sept 3, 2013 kwa mazungumzo. Picha na OMR. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Asasi ya Kisiasa ya Konrad Adenauer Foundation ya Ujerumani, ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Umoja wa Ulaya, Rais Mstaafu wa Bunge la Umoja wa Ulaya Dkt. Han-Gert Pottering, aliyeongoza na ujumbe wake baada ya mazumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, leo Sept 3, 2013. Picha na OMR 

No comments

Powered by Blogger.