Header Ads

Kamuzi la Kili Music Tour wikiendi iliyopita

 Tanasha la muziki la Kili, linaloendelea kuizunguka Tanzania mwishoni mwa wiki iliyopita lilitia nanga mkoani Kigoma ambapo mashabiki wa muziki wa kizazi kipya walikatwa kiu yao ya burudani katika onesho lililofanyika katika viwanja vya Lake Tanganyika.
PICHANI JUU: Barnaba boy akiwapa burudani mashabiki wake
 Ben Pol ana ngoma yake mpya kali sana kamshirikisha huyu dada, hapa alikuwa akiwaonjesha mashabiki wake
 Kigoma All Stars ikiongozwa na Diamond Platinumz kuimba Leka Tutigite katika jukwaa la muziki la Kili
 Kila akimaliza shughuli lazima wacheza shoo wake wam'bebe!
 Lady Jaydee mbele ya umati wa watu
 Kutoka kushoto ni Dullah wa EATV, wa pili kainama hatumuoni, wa tatu ni Rachel, wa nne ni Kavishe, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro ambao ndio wadhamini wakubwa wa tamasha, anayefuata ni Barnaba, kisha Mwasiti, kisha Izzo B na mwisho kabisa Ben Pol
 R.O.M.A
Kaka Mkubwa Jizzle akiwa jukwaani
 Rachel na Hilda, ...kazi kweli kweli
Umati!

No comments

Powered by Blogger.