Header Ads

Free Mind Events waianza Septemba kwa chakula na watoto yatima Kigamboni

Mkurugenzi wa kampuni ya Free Mind Events yenye makazi yake jijini Dar es Salaam, AbdulMalik Fundikira akiwa na Mzee Maiko, mmoja kati ya walezi wa kituo cha New Hope, kilichopo Mjimwema, Kata ya Ungindoni, eneo la Kigamboni jijijni Dar es salaam ambapo jana kampuni yake ilifungua mwezi Septemba kwa kula chakula cha mchana na watoto hao
 Chakula kilipikwa na kampuni hiyo inayotoa pia huduma ya Catering, hapa Malik akionesha chakula na kukionja kuhakikisha kwamba ni salama kwa kuliwa
 msafara ukielekea eneo la maakuli, alyevaa kofia ni mlezi wa kituo hicho Anita Diagle
 Hapa ni maandalizi yakiendelea, Abdul Malik, na Anna Mwakatundu ambao ni wakurugenzi wa kampuni ya Free Mind Events wakiwa washughulikaji wakuu
 Msosi fresh, pamoja na watoto
 Baadhi ya watoto wa kituo cha New Hope wakiendelea na msosi
Na baada ya chakula, kesho shule itakuwaje? Ilibidi Abdulmalik ajipinde, watoto wakichukua nauli zao hapa kwa ajili ya siku inayofiata

No comments

Powered by Blogger.